agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Wanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majini yanatusaidia, kwa muda mmoja ninakuwa locations sita tofauti kuwaridhisha wadadaWanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
Majini yanatusaidia, kwa muda mmoja ninakuwa locations sita tofauti kuwaridhisha wadadaWanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
Ngoja yakikukuta dada kwenye huo uhudiano wako. Lazima utatafuta wa kukufariji.Wanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
hahhahahaNabeti mechi zaidi ya kumi na nashinda nishindwe kudate?
Aiseee!Me naweza ila huwa naihurumia tu papuchi yangu 😛😛😛😛
Kama pesa tu, wengine wanatafuta wengine hawana wengine wanazo mpaka za ziadaIla maisha sio fair kabisa, mie sina hata mmoja alafu kuna watu wanao zaidi ya mmoja!!!!🙆🙆🙆🙆
Kwakweli.Kama pesa tu, wengine wanatafuta wengine hawana wengine wanazo mpaka za ziada
Hukusoma Natural selection ?Ila maisha sio fair kabisa, mie sina hata mmoja alafu kuna watu wanao zaidi ya mmoja!!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanawake/ Wanaume wenye wapenz zaidi ya mmoja mnawezaje kugawa muda wenu?,Mimi mmoja tu huwa naona kero.
Naona unanisema kisirsir[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe kuna watu wanadanganya tu hapa