Mpesa haifanyi kazi??

Mpesa haifanyi kazi??

Benderea

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
686
Reaction score
1,303
Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
 
Iko chini m pesa nimetuma hela za watu kama watatu hivi zote hazijafika, Kuna mmoja kanifata dukani anataka kuntoa shingo
 
Nilitaka bubeti mechi ya yanga ashinde HT/FT ilikuwa na faida 48% nikadeposit booster mpaka muda huu haijaingia.
nilikuwa napata hela ya bia mwezi.

nawapigia kwa namba iliyodeposit nakatiwa mwishoni. Napiga kwa lipa namba naambiwa nipige kwa namba husika.
 
Back
Top Bottom