The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Oct 5, 2023 #1 Kuna tatizo la Mpesa kutokufanyan kazi. Sijui watu wa mtandao huu wanatusaidiaje wateja wao. Transactions zote zimegoma kabisa. Vodacom Tanzania msaada wenu Tafadhali
Kuna tatizo la Mpesa kutokufanyan kazi. Sijui watu wa mtandao huu wanatusaidiaje wateja wao. Transactions zote zimegoma kabisa. Vodacom Tanzania msaada wenu Tafadhali
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Oct 5, 2023 #2 N balaa imebidi nikakope kwa jamaa yangu hela ya wese...kila uki click ktu kina soma error..