Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
- Thread starter
-
- #41
hehehe wachekesha, nimejifunza kwa njia ngumu. nitakuwa naandika nasoma narudia namwomba mtu aisome tena alafu ndio natuma.Duh! Pole, ila kwa hela hamna lingine zaidi ya kuwa makini tu, siku hizi Bongo hata ukipiga simu hairudishwi kiulaini, maana kuna matapeli walikua wamezoea, kwa mfano mtu anaishi hotelini halafu wakati anatoka anawalipa kwa Mpesa, akiwa nje na mbali anapiga simu Voda kwamba kakosea wanamrejeshea.
Mimi huwa natuma sana na kupokea hela kutoka Bongo kwa njia ya Safaricom-Voda lakini huwa makini herufi kwa herufi, naitaja kwa sauti, au natumia copy pasting.
Huo utapeli wa kulipa na Mpesa kisha wanareverse ndio ulifanya Safaricom waje na ile till number. Hiyo hamna cha kureverse wala nini. Kama ni kweli umekosea unaenda kuongea na mwenye biashara.Duh! Pole, ila kwa hela hamna lingine zaidi ya kuwa makini tu, siku hizi Bongo hata ukipiga simu hairudishwi kiulaini, maana kuna matapeli walikua wamezoea, kwa mfano mtu anaishi hotelini halafu wakati anatoka anawalipa kwa Mpesa, akiwa nje na mbali anapiga simu Voda kwamba kakosea wanamrejeshea.
Mimi huwa natuma sana na kupokea hela kutoka Bongo kwa njia ya Safaricom-Voda lakini huwa makini herufi kwa herufi, naitaja kwa sauti, au natumia copy pasting.
laki ni pesa ndogo sana hapa Tanzania @ be calm brokweli kabisa, wanafaa pia hela ikitumwa angalau ichukue ata dakika 30 kabla kumfikia anayepokea. kuwa makini sana ukituma hela, nimejifunza sasa. nimepoteza laki kadhaa za Tz.
Kwani Safaricom (Ke) siyo Vodacom (Tz)? Kwanini wasi-exchange informations as long as wote ni ndugu?...
Aki pole sana shiku,Juzi nilikuwa namtumia rafiki yangu hela uko Tz na mpesa bahati mbaya nikakosea nambari moja ya mwisho,nikawapigia safaricom wanirejeshee hiyo hela kwangu,haya sasa safaricom hawawezi nirejeshea hela manake uyo mteja wa vodacom uko tanzania asha toa hela kitamboo.. ni njia gani mtu uko Tz utumia kukabiliana na hawa wezi, cha kushangaza aliye toa ni mwanamke na sasa kazima simu yake kitambo.
nilisema laki kadhaa Si laki moja dogo.laki ni pesa ndogo sana hapa Tanzania @ be calm bro