Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
- Thread starter
- #41
hehehe wachekesha, nimejifunza kwa njia ngumu. nitakuwa naandika nasoma narudia namwomba mtu aisome tena alafu ndio natuma.Duh! Pole, ila kwa hela hamna lingine zaidi ya kuwa makini tu, siku hizi Bongo hata ukipiga simu hairudishwi kiulaini, maana kuna matapeli walikua wamezoea, kwa mfano mtu anaishi hotelini halafu wakati anatoka anawalipa kwa Mpesa, akiwa nje na mbali anapiga simu Voda kwamba kakosea wanamrejeshea.
Mimi huwa natuma sana na kupokea hela kutoka Bongo kwa njia ya Safaricom-Voda lakini huwa makini herufi kwa herufi, naitaja kwa sauti, au natumia copy pasting.