Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki?
Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?