Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mbona zinafanya shughuli zote za kibenki?Hapana, siyo benki.
Mkuu Ina maana huzijui benki amaHivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je na zenyewe ni benki? Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
Siyo benki hizo ndio kuna kikomo cha akiba huwezi kuweza zaidi ya million 10. Ila benki hakuna limitHivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je na zenyewe ni benki? Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
Benki huwa zinakuwaje, zinafanya kazi gani?Mkuu Ina maana huzijui benki ama
Taasisi nyingi za kifedha zinafanya kazi za kibenki, japo siyo benki.Mbona zinafanya shughuli zote za kibenki?
Mpesa yangu inakubali 15milSiyo benki hizo ndio kuna kikomo cha akiba huwezi kuweza zaidi ya million 10. Ila benki hakuna limit