uichoelewa hapo nini? Mfano mdogo tu wanafunzi wengi wa vyuo na shule za kilimanjaro 2015 walijiandikisha na kupiga kura kilimanjaro wakapiha kura kule sasa wengi wamehamia mikoa mingine.Utopolo kwenye Ubora wao
Jaji Mihayo mjumbe wa Tume ya uchaguzi asema utapiga kura ulipojiandikisha kama umehama panda basi ukapige ulikojiandikisha.Mwisho wa kunukuu...
Msikilize Mh tenaHiyo ni kwa nafasi zote? au udiwani na ubunge maana hilo ndiyo hufanyika hivyo ila kwa urais unaweza kupiga kama ulihama eneo lako kama sikosei
Hakika ccm inambinu 1000,hiyo ni moja tu,bado 999[emoji23][emoji23][emoji23],watatosha wanaotaka kushindana na hii taasisi kubwa na bora barani afrikaJaji Mihayo mjumbe wa Tume ya uchaguzi asema utapiga kura ulipojiandikisha kama umehama panda basi ukapige ulikojiandikisha.Mwisho wa kunukuu....
Huo ni utaratibu mzuri sana. Hongera tume kwa maamuzi sahihi, wakati sahihi, na muda sahihi.
Nimecheka Sana!Hiyo ni kwa nafasi zote? au udiwani na ubunge maana hilo ndiyo hufanyika hivyo ila kwa urais unaweza kupiga kama ulihama eneo lako kama sikosei
Nimecheka Sana!Na yule mgombea anaye lala na miwani kule Mbeya,na yeye atapanda basi kwenda Dar akapige kura alikojiandikisha?