Ndio nashangaa hapa [emoji15] Maana mimi nimehama mkoa kabisa na nauli kwenda na kurudi ni 150k! Yaani hata Rais siwezi mpigia kura kwa maana hiyo au niaje..?Hata kura ya Raisi siwezi kupiga?? Mbona inafahamika kuwa ukihama eneo na bila kuhakiki utaweza kumpigia Raisi tu lakini Mbunge na diwani hutaweza.
Hii sheria imebadilika lini??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sijaona kinachokufurahisha.Hakika ccm inambinu 1000,hiyo ni moja tu,bado 999[emoji23][emoji23][emoji23],watatosha wanaotaka kushindana na hii taasisi kubwa na bora barani afrika
Kinachokufurahisha ni Lissu kwenda mlimani kununua mkate na maji,pathetic!Sijaona kinachokufurahisha.
JPM ndio rais.....Uchaguzi Afrika hauna tofauti na ufujaji wa Raslimali na Muda ,wizi / vitisho/ Uongo uonevu/ uvunjwaji wa Sheria na mengine ya kufanana na hayo.Binadamu anapo fika mwisho huamua lolote na hapo ndipo machafuko hutokea na kupelekea waliomo na wasio kuwepo kuwekwa ktk kapu moja la Athari..