Kutopiga kura ni haki yako kikatiba na sisi wengine kupiga kura ni haki yetu kikatibaYaani muuze bandari Kwa mwarabu, Serengeti Kwa mwarabu!!! halafu nikapige kuraaaaaa😭😭😭
Kupiga kura kwa tume ipi? Acheni kuibia watu
Uko huru uende usiende hiari yako katiba ya nchi imekupa uhuru ukitaka kapige usipotaka sawa tuKupiga kura kwa tume ipi? Acheni kuibia watu
Sema baadhi wewe mbona mimi nitaenda kupiga kuraMnachekesha sana nyie wezi. Kuna mtu ana haja na huo ujinga wenu kweli nyakati hizi?
Lakini katiba haitoa uhuru wa kupiga kura zinazoenda kuibiwa! Onyesha kifunguUko huru uende usiende hiari yako katiba ya nchi imekupa uhuru ukitaka kapige usipotaka sawa tu
Sisi wengine tutaenda kupiga kura sababu katiba ya nchi imetupa huo uhuru pia kuwa tukitaka kwenda kupiga kura ruksa
Wewe baki na misimamo yako na sisi ns misimamo yetu sababu sote katiba ya ncji imeturuhusu kwenda au kutokwenda
Neno wizi liko eneo gani la katiba ya nchi?Lakini katiba haitoa uhuru wa kupiga kura zinazoenda kuibiwa! Onyesha kifungu
Mhakiki ndiye Shotocan
Ibara ya 13 ya Katiba imetoa haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Onyesha wewe kifungu cha katiba kinachokupeni haki ya kuiba kura zetuNeno wizi liko eneo gani la katiba ya nchi?
Onyesha kifungu wewe
Una ushahidi wa kimahakama kuwa kura zimewahi ibiwa?Ibara ya 13 ya Katiba imetoa haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Onyesha wewe kifungu cha katiba kinachokupeni haki ya kuiba kura zetu
Tanzania in the digital era! Viva Samia viva! Viva CCM viva! Viva Tanzania viva!!
Kina Nape waizi waandamizi walishaweka wazi, Wazee na viongozi wa dini walishalaumu sana kuhusu uchafuzi wa 2020. Samia alikuwa na 4R za kitapeli akidai kutibu vidondo vya uchaguzi 2020.Una ushahidi wa kinahakama kuwa kura zimewahi ibiwa?
Onyesha ushahidi