Mpiga mbiu ya Kijiji anaelekea kuwa mropokaji wa kijiji

YASIYOSEMWA

Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
68
Reaction score
149
Kuna huyu kijana mwenzetu amabaye amepewa heshima YA kupuliza la mgambo la Kijiji
lakini saasa naona anapuyanga.

Amekua Ni mwepesi wa kujibu tuhuma zinazotolewa na zengo mbalimbali zinazotuzunguka akitupa matumaini kuwa tuna uhusiano Imara na nzengo hizo ambazo wamepiga Kura ya kutukatia vile walivyoshea na sisi...
Anyway, nguchiro sasa hivi yake mchwa
 
singida bigstar ni mmoja tu aliyepo gerezani wengine hao ni vituko tu
 
Back
Top Bottom