Kuna huyu kijana mwenzetu amabaye amepewa heshima YA kupuliza la mgambo la Kijiji
lakini saasa naona anapuyanga.
Amekua Ni mwepesi wa kujibu tuhuma zinazotolewa na zengo mbalimbali zinazotuzunguka akitupa matumaini kuwa tuna uhusiano Imara na nzengo hizo ambazo wamepiga Kura ya kutukatia vile walivyoshea na sisi...
Anyway, nguchiro sasa hivi yake mchwa