Mpiga picha anaweza kupiga picha na asijue madhara yake mbele ya safari

Ha ha haaa aisee!
Hii ni picha ya kihistoria inapaswa kuwekwa kwenye jumba la makumbusho
 
Hao ni wateja zako wa pale mwaloni ila huwa wanachukua take away mara nyingi mshenga wangu
Ni nani na nani hao?
Mie namjua JPM, Samia, Kasimu, na Lugola tu wengine huwa siwajuagi atiiiiiii!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…