Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The first line is still valid. Akina nani hawa!?Ni nani na nani hao?
Mie namjua JPM, Samia, Kasimu, na Lugola tu wengine huwa siwajuagi atiiiiiii!!!!
Huu ndo unafiki wa kiwango cha juu sana!!Unganisha na hiiView attachment 931325
Ila Nape ana mengi sana moyoni!
Ha hah, kwamba alikuwa na vyeti fekiMwl wako wa la kwanza anatafutwa na serikali
duh!Mwarimu wagu arikuwa rozimeli maiko
Na aendelee kukaa nayo moyoni mpk apasuke,kijana mnafiki sana sana huyo.Ila Nape ana mengi sana moyoni!
Uyo aliyeshika shavu ariwahi kuja uku gairo na magali mengi, wanainchi tukaeda kumuwona.
gairo nirikua nafanya kazi dunka moja pare rinaitwa nike
Mwarimu wagu arikuwa rozimeli maiko
Ahahhaah umenifanya ncheke ndo maana nmesema serikal ikimfaham mwl wake wa la kwanza ana kesi ya kujibuUshagundua hata kiswahili hukijui kuandika na kuongea nenda kwa ras simba lakiini wewe utaanza na kiswahili kwanza
Chale mmoja kalalaUnganisha na hiiView attachment 931325
hao ni wafanyabiashara waliojitokeza kununua korosho baada jiwe kutoa bei elekeziNi nani na nani hao?
Mie namjua JPM, Samia, Kasimu, na Lugola tu wengine huwa siwajuagi atiiiiiii!!!!
[emoji23] [emoji23] mkuu ongea tu kiswahiliMwarimu wagu arikuwa rozimeli maiko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimependa uandishi wakogairo nirikua nafanya kazi dunka moja pare rinaitwa nike