Mpiga picha anaweza kupiga picha na asijue madhara yake mbele ya safari

Mpiga picha anaweza kupiga picha na asijue madhara yake mbele ya safari

Dr0PjQLW4AEiY1J.jpg
 
Uyo aliyeshika shavu ariwahi kuja uku gairo na magali mengi, wanainchi tukaeda kumuwona.


Natamani kujua ulichoandika lakini ndio hivyo nasoma sielewi, ni kiswahili kipogoro, au kigogo... na kama ni kiswahili rudi darasani kwa heshima ya kiswahili cha bara la Africa hususani Tanzania
 
Ushagundua hata kiswahili hukijui kuandika na kuongea nenda kwa ras simba lakiini wewe utaanza na kiswahili kwanza
Ahahhaah umenifanya ncheke ndo maana nmesema serikal ikimfaham mwl wake wa la kwanza ana kesi ya kujibu
 
Back
Top Bottom