Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center.
Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu, Magomeni Mapipa: