Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,526 Reaction score 34,057 Oct 4, 2026 #1 Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center. Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu, Magomeni Mapipa:
Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center. Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu, Magomeni Mapipa:
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,322 Reaction score 10,177 Oct 4, 2026 #2 Naam, Babu yangu Nina picha nyingi Sana IPO siku ntakuletea
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 23,526 Reaction score 34,057 Oct 5, 2026 Thread starter #3 Jane Msowoya said: Naam, Babu yangu Nina picha nyingi Sana IPO siku ntakuletea Click to expand... Jane, Tafadhali nirushie hizo picha kwenye whatsapp no yangu nami nitaziandikia makala: 0687500699.
Jane Msowoya said: Naam, Babu yangu Nina picha nyingi Sana IPO siku ntakuletea Click to expand... Jane, Tafadhali nirushie hizo picha kwenye whatsapp no yangu nami nitaziandikia makala: 0687500699.