Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Kuna zingine zitapalizwa......Kila nafsi itaonja umauti.
AjaliAjari huwa zinatisha sana..
Wapumzike kwa amani waja wake mola hawa.Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV...
Watatoa maelezo zaidi ila gari ni mini busPoleni sana. Apumzike kwa amani. Ajali ilikuwaje? Kibaha eneo gani?
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Inaonekana alikuwa Mdau wa Yanga SC.Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV....
Sikumjua binafsi ila imesikitisha sanaInaonekana alikuwa Mdau wa Yanga SC.