Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaMadogo wa ayo wanakufa ajali tu
Au Ni kafara[emoji846]Madogo wa ayo wanakufa ajali tu
Hakuna cha kafara wala niniAyo "LOOK VERY" usije ukawa unawatoa kafara wafanyakazi wako.
Kitu kizuri sana alifanyaDuh. RIP dogo.
Anaonekana alikua na nidhamu sana.
Tumshukuru kwa kuokoa Maisha ya yule binti na Bibi yake.
TBCCM igeni mifano ya vijana Kama Hawa. Sio kupiga picha ya misafara tuh.