TANZIA Mpiga picha wa Ayo TV, Nellyson Grigery afariki dunia

RIP , vijana kuwa na taasisi imara lazima kuanguka na kujikwaa ,kufariki,n.k hutokea R I P
 
Waandishi sjui wapiga picha wa ayo wao kunyoa viduku na kuvaa skinjeans 😄
Anyway poleni watu wa ayo

Ova
 
Ayo "LOOK VERY" usije ukawa unawatoa kafara wafanyakazi wako.
Hakuna cha kafara wala nini
Kwenye hekaheka lazima mambo kama haya ya vifo yatatokea
Na kfo kwa mwanadm ni lawaida tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…