Mpiga picha wa Konde Gang aondoka rasmi

Mpiga picha wa Konde Gang aondoka rasmi

Manoni yangu
Huyu kijana kapunguzwa na Sebastian Ndege nahisi ndo supply mkubwa wa Sigara bwege kwa Harmonize. Hivyo nahisi baada ya Dr kurejea kumsimamia Mmakonde akaamua kupunguza vijana wote wanao onekana kumshawishi bwana konde kutumia sigara bwege Nijambo Jema kabisa
 
Huwez kudate na kajala ukatoboa

Huyu mwanamke ana mkosi wa asili

Harmo atafte mwanamke mwny nyota
 
Back
Top Bottom