Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Huu mzima?
Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music
Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na rayvanny atafanya na mara nyingine hata wakisafiri kwenda nje huwa ana beba mpaka mabegi ya Rayvanny.
Nafasi ya @erismzava kwa sasa ni tofauti sana kwani kwenye lebo hiyo mpya yeyey ni mmoja ya watu ambao watatumika kuchagua na kuchuja watu watakaofanya kazi kwenye lebo hiyo.
Pia erismzava ameeleza namna alivyowasaidia vijana wengi kutokea Wasafi media na hata mpiga picha wa Harmonize Jabulan jinsi alivyomfundisha kazi.