Mpiga picha wa Rayvanny: Kutoka kubeba mabegi mpaka kuwa msimamizi wa lebo ya Next level (+ Video)

Wote wanaitwa chui mkuu tofauti ni sehemu ndogo tu
#1 leopard=chui
#2 tiger=chui milia
Ila wote ni chui kwa kiswahili wanatofautiana milia(mistari ya mwilini) tu ioo
🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Sawa sawa mkuu, halafu h jamii c ipo tatu.? Chui, chui milia na nyingine ni ipi.?
 
Ni jamii moja ya paka Ila Wana uwezo na sifa tofaut , na wanaishi mazingira tofaut.. Sawa Sawa na paka wa kawaida wa nyumbani na Caracaras ( Paka mwitu) au Cobra na Koboko ...... Whatever the case tiger na Leopard ni viumbe tofaut na hawawez kutengeneza group la kuishi pamoja ....
Ukweli ni upi mzee baba.?
 
Yah mzee ht mm najua hvy.
Mfano, tiger wanapatikana hasa Asia na sidhan kama wanaweza kuishi Afrika mana cjawah kuona documentary yoyote inayoonyesha uwepo wa tiger kwa hapa Afrika.
Pia leopard ana kasi kuliko tiger
 
Ni jamii moja ya paka Ila Wana uwezo na sifa tofaut , na wanaishi mazingira tofaut.. Sawa Sawa na paka wa kawaida wa nyumbani na Caracaras ( Paka mwitu) au Cobra na Koboko ...... Whatever the case tiger na Leopard ni viumbe tofaut na hawawez kutengeneza group la kuishi pamoja ....

Kuanzia simba chui na paka wa nyumbani wote wako kwenye family (cat)
Hii ni kwenye level of classification
 
Wote wanaitwa chui mkuu tofauti ni sehemu ndogo tu
#1 leopard=chui
#2 tiger=chui milia
Ila wote ni chui kwa kiswahili wanatofautiana milia(mistari ya mwilini) tu ioo

Huwa wana utofauti kwenye species ambapo mmoja ni tigris(tiger) na mwingine ni pardus(leopard)
Same genus(panthera)
Same family(felidae)
 
Ni jamii moja ya paka Ila Wana uwezo na sifa tofaut , na wanaishi mazingira tofaut.. Sawa Sawa na paka wa kawaida wa nyumbani na Caracaras ( Paka mwitu) au Cobra na Koboko ...... Whatever the case tiger na Leopard ni viumbe tofaut na hawawez kutengeneza group la kuishi pamoja ....
Umetoka nje ya kinachozungumziwa, hao wote kwakiswahili wanaitwa Chui tofauti neno milia tu ila halitumiki sana linatumika pale tu unapowaweka pamoja.

*Chui milia anapatikana Asia
*Chui (plain) Africa nk

Tatizo ni la lugha ya kiswahili zaidi kukosa msamiati wa kutosha hata wale ma Jaguar, Panther ukija kwenye kiswahili Zero, Caiman, Alligator na Crocodile ukija kwenye kiswahili wote mamba.
 
Huu mzima?

Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music

rayvanny_1583023594446631967765345028025789028192747n-1.jpg

Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na rayvanny atafanya na mara nyingine hata wakisafiri kwenda nje huwa ana beba mpaka mabegi ya Rayvanny.

Nafasi ya @erismzava kwa sasa ni tofauti sana kwani kwenye lebo hiyo mpya yeyey ni mmoja ya watu ambao watatumika kuchagua na kuchuja watu watakaofanya kazi kwenye lebo hiyo.

Pia erismzava ameeleza namna alivyowasaidia vijana wengi kutokea Wasafi media na hata mpiga picha wa Harmonize Jabulan jinsi alivyomfundisha kazi.
Hii kitu ndio huwa inawafanya wcb kuwa tofauti kidogo na baadhi ya wasanii wengine ukitoa kwamba wO kwenye investment tayari angalau wana jiweza..
 
Wanakua wameshajitosheleza
 
Back
Top Bottom