Mpiga Tarumbeta aibua Kicheko Mazishini Kenya, tarumbeta yazingua!

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katika tukio lililogeuka burudani ya ghafla katikati ya huzuni, mpiga tarumbeta mmoja nchini Kenya amezua kicheko wakati wa mazishi baada ya tarumbeta yake kushindwa kutoa sauti stahiki! 😅


Video hiyo ya kuchekesha inaonesha mpiga tarumbeta akiwa makini kupuliza ala hiyo ya sherehe huku sura yake ikijaa juhudi — lakini tarumbeta ikawa kimyaaa… au ikitoa sauti kama ndizi iliyoanguka kwenye ndoo! 🎺🚫😆
.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…