Tunaihitaji tume ya taifa ya uchaguzi kuja kulitolea ufafanuzi hiliHivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?...
Vitendea kaziHiki ni chama kilichoamini 2020 Hakuna Upinzani.
Watu hawalali wanakuna kichwa balaa lakini wapi.
Pia kuna fomu imetolewa kwa ajili ya watumishi wa umma. Wamelazimishwa kujaza taarifa zao za kupigia kura baada ya hapo fomu zinapelekwa usalama wa Taifa. Sijui wanawaza nini mwaka huu! Akili ya taahira mwaka huu haifanyi kazi kabisa!Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?...
Wapi huko ?Pia kuna fomu imetolewa kwa ajili ya watumishi wa umma. Wamelazimishwa kujaza taarifa zao za kupigia kura baada ya hapo fomu zinapelekwa usalama wa Taifa. Sijui wanawaza nini mwaka huu! Akili ya taahira mwaka huu haifanyi kazi kabisa!
Hii ni batili kwa kuwa inaingilia Uhuru binafsi wa mwanachama kuchagua kiongozi anayemtaka. The fact kwamba yeye ni mwanachama wa CCM haina maana kwamba CCM wanao Uhuru wa kuingilia privacy yake kwenye kuchagua. Hii inatokana na ukweli kwamba kura ni Siri ya mpiga kura na hakunahilo karatasi umelitoa wapo kwanza!!!!!
maana naona hii vita sasa inahamia kwenye chupa za soda.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ahaaa !!!! Ni kweli !? Wanajamii forum tunahitaji fomu iliyosainiwa tayari Kama Ushahidi ili mchangiaji aweze kuchangia kitu kilichodhibitishwa !Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?...
Hizo ni namba za kadi ya bima ya afya, CCM inafanya uhakiki ili wananchi wasisumbuliwe.Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?
Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.
Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?
View attachment 1598319
Mkuu Shinyanga moja hiyo! Hapa Manispaa, watumishi wote wamejazishwa fomu! Sijui sheria ya wapi hii? Taarifa hizi zimfikie Kamanda Lissu alikemee hili!Wapi huko ?
Ni uvunjifu wa amani,nashangaa NEC wapo kimyaHivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?
Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.
Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?
View attachment 1598319
Chama kimejiwekea utaratibu na wanachama wake! Nyie wengine meshapandwa na visebusebu! Si nanyie muandikishe wanachama wenu? Acheni kihoro, tar 28 tunawatwanga mafiga matatu.Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?