uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
hii kitu kila sehemu wamejaza tunaambiwa wanataka kutuletea maendeleo . au wana sema tunahitaji taarifa zako , kwa ngazi ya kata wanatumia mabalozi wa ccm . kuna niliokutana naye mmoja asiye na uelewa , nilipata kujua ni kazi ya mkuu wa wilaya na ccm ngazi ya wilaya , wamewapa assignement kila mtu watu mia moja kwenda mbele . Inahitajika namba ya kipalata na namba ya simu .Ahaaa !!!! Ni kweli !? Wanajamii forum tunahitaji fomu iliyosainiwa tayari Kama Ushahidi ili mchangiaji aweze kuchangia kitu kilichodhibitishwa !
Nakuomba Sana tutumie fomu iliyosainiwa tayari . Je , wahusika wakiikana fomu hii na wakakuambia fomu hii ni wewe umeibuni na kuitengeneza Stationary , utakataa Ndugu yangu !?