Uchaguzi 2020 Mpigakura kuahidi kukipigia kura chama cha siasa kwa kuandika namba ya kitambulisho cha mpiga kura na namba ya simu hii imekaaje?

Uchaguzi 2020 Mpigakura kuahidi kukipigia kura chama cha siasa kwa kuandika namba ya kitambulisho cha mpiga kura na namba ya simu hii imekaaje?

Ahaaa !!!! Ni kweli !? Wanajamii forum tunahitaji fomu iliyosainiwa tayari Kama Ushahidi ili mchangiaji aweze kuchangia kitu kilichodhibitishwa !

Nakuomba Sana tutumie fomu iliyosainiwa tayari . Je , wahusika wakiikana fomu hii na wakakuambia fomu hii ni wewe umeibuni na kuitengeneza Stationary , utakataa Ndugu yangu !?
hii kitu kila sehemu wamejaza tunaambiwa wanataka kutuletea maendeleo . au wana sema tunahitaji taarifa zako , kwa ngazi ya kata wanatumia mabalozi wa ccm . kuna niliokutana naye mmoja asiye na uelewa , nilipata kujua ni kazi ya mkuu wa wilaya na ccm ngazi ya wilaya , wamewapa assignement kila mtu watu mia moja kwenda mbele . Inahitajika namba ya kipalata na namba ya simu .
 
Pia kuna fomu imetolewa kwa ajili ya watumishi wa umma. Wamelazimishwa kujaza taarifa zao za kupigia kura baada ya hapo fomu zinapelekwa usalama wa Taifa. Sijui wanawaza nini mwaka huu! Akili ya taahira mwaka huu haifanyi kazi kabisa!
Limefanyika wapi hilo
 
Hilo ni kosa. Wanavunja maana ya secret ballot na wanakiuka haki z an kiraia na sheria pia wanaikiuka.
 
Back
Top Bottom