Mpiganaji yupi unamkubali WWE?

Mike tysoni na mch gwajima,nawakubali sana hawa jamaa.
 
Eddie Guerrero!..

Nilikuwa ninamkubali sana huyu jamaa,alikuwa na mbinu,mjanja yaani alikuwa ni balaa alifariki 2005 niliumia sana!..
 
mie mwenyewe leo kulikuwa na mabishano juu ya uhalisia wa huu mchezo. nipe link nipate ukweli ili nikakate mzizi wa fitina maeneo flani..... huko google kama si waelewi vile
 
Mimi ile ngumi moja ya Roman Reign inanikosa sana huyo mapafu ya mbwa wa polisi, maana alimpiga Randy Orton moja tu ilibidi Randy akimbilie nje ya ulingo akajiulize na hakurudi tena....
 
Kwanza mieleka ninmaigizo , hakuna uhasilia wowote labda wa kujazia miili
Ingekuwa ni maigizo na Bongo yangeshaigizwa....hebu jaribu kujirusha toka juu ya mlango mpaka chini utue na mgongo uone kama ni maigizo
 
Ingekuwa ni maigizo na Bongo yangeshaigizwa....hebu jaribu kujirusha toka juu ya mlango mpaka chini utue na mgongo uone kama ni maigizo

mieleka ni scripted mkuu hebu soma hivi vifuatavyo utaelewa,kayfabe,msg incident na montreal screwjob hizo zote kasome wikipedia.
 
mie mwenyewe leo kulikuwa na mabishano juu ya uhalisia wa huu mchezo. nipe link nipate ukweli ili nikakate mzizi wa fitina maeneo flani..... huko google kama si waelewi vile

kasome kayfabe,msg incident na montreal screwjob wikipedia halafu ingia you tube uandike brock lesnar says wwe is fake utaona video akihojiwa wakati yupo ufc na alichojibu kuhusu wwe
 
namchukia randy orton yaani jamaa ni katili sana.....halafu anapenda sana kupiga na viti. Leo nilikuwa nacheki e.tv randy kapigwa na jamaa mmoja ananywele ndefu hadi kakimbia ulingoni

nampenda john cena ila sometimes anapigwa kama mtoto
 
John cena akifuatiwa na under taker
 
Mieleka ilikuwa enzi za WCW Monday nitro kale mziki ka nwo kakipigwa dah ingawa nilikuwa siwapendi nwo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…