nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
Roman reigns from THE SHIELD
Jamaa anadeserve ingawa sikupenda kane alivyomfanyia hadi rand orton kushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roman reigns from THE SHIELD
Kwanza mieleka ninmaigizo , hakuna uhasilia wowote labda wa kujazia miili
Mike tysoni na mch gwajima,nawakubali sana hawa jamaa.
mie mwenyewe leo kulikuwa na mabishano juu ya uhalisia wa huu mchezo. nipe link nipate ukweli ili nikakate mzizi wa fitina maeneo flani..... huko google kama si waelewi vileni kweli anachoongea jamaa,mieleka ni scripted si wwe si tna impact zote ni scripted,wanapopigana pale huwa ni kweli ila matokeo huwa yanapangwa kabla yani mshindi huwa keshapangwa tayari,mfano juzi kati ile mechi kati ya brock lesnar na taker yale matokeo ni vince ndo aliyeyapanga alimwambia taker kwamba inabidi alose kwa lesnar na ndo maana jamaa akalose lakini pia ingia blog ya bongo 5 utaiona script moja iliyovuja mtandaoni inayoonyesha events zitavyokuwa halafu uiangalie hiyo show kwenye youtube utaamini nikisemacho
Hata na wao walifanya hivyo hivyo kwa wenzao enzi za uhai wa THE SHIELD...Jamaa anadeserve ingawa sikupenda kane alivyomfanyia hadi rand orton kushinda
Ingekuwa ni maigizo na Bongo yangeshaigizwa....hebu jaribu kujirusha toka juu ya mlango mpaka chini utue na mgongo uone kama ni maigizoKwanza mieleka ninmaigizo , hakuna uhasilia wowote labda wa kujazia miili
Ingekuwa ni maigizo na Bongo yangeshaigizwa....hebu jaribu kujirusha toka juu ya mlango mpaka chini utue na mgongo uone kama ni maigizo
mie mwenyewe leo kulikuwa na mabishano juu ya uhalisia wa huu mchezo. nipe link nipate ukweli ili nikakate mzizi wa fitina maeneo flani..... huko google kama si waelewi vile