Mpiganaji yupi unamkubali WWE?

Mpiganaji yupi unamkubali WWE?

Kwa sisi old school,Undertaker aibuuu!Akiwa anawajibika ni shughuli pevu,na ile legacy ya streak yake....ile melody yake,na akiwa anatoka kwenye jeneza...wanasema entry ya Undertaker ndio inayoogofya kuliko wote!
 
Back
Top Bottom