AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Lakini huyu king si mkubwa kuliko tuzo huyu?
Best style zenyewe atoe wapi, au lile kofia lake la mkeka?
Hahahaha kweli simba akikosa nyama anakula hadi nyasi , ngoja nimsapoti king kiba amalize mwaka vizuri
Tunampigia kura msanii anaejitambua like Chibu. huyo ambae hajitambui atapigiwa kura na ngedere