Mpigie kura Alikiba katika tuzo za Swahili Fashion

Mpigie kura Alikiba katika tuzo za Swahili Fashion

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu habari!
Mpigie kura Alikiba katika tuzo za Swahili fashion katika kipengele cha "Best sylish Male" kwa kutuma maneno ya fuatayo "SWF SMP 01" kwenda "15670" kwa njia sms na huduma hii ni #BURE kabisa, hautozwi gharama yeyote.

Vote kadri uwezavyo kuanzia sasa Maana leo ndio deadline.

#Kingkiba
 
  • Thanks
Reactions: me1
Hahahaha kweli simba akikosa nyama anakula hadi nyasi , ngoja nimsapoti king kiba amalize mwaka vizuri
 
Best style zenyewe atoe wapi, au lile kofia lake la mkeka?
 
  • Thanks
Reactions: me1
tunawapiga kura harafu mwisho wa siku mashabiki tuaonekana mafara, sipendi hiyo tabia
 
  • Thanks
Reactions: me1
Wakuu habari!
Mpigie kura Alikiba katika tuzo za Swahili fashion katika kipengele cha "Best sylish Male" kwa kutuma maneno ya fuatayo "SWF SMP 01" kwenda "15670" kwa njia sms na huduma hii ni #BURE kabisa, hautozwi gharama yeyote.

Vote kadri uwezavyo kuanzia sasa Maana leo ndio deadline.

#Kingkiba

Tunampigia kura msanii anaejitambua like Chibu. huyo ambae hajitambui atapigiwa kura na ngedere
 
Best style zenyewe atoe wapi, au lile kofia lake la mkeka?

Na vile visuit ambavyo sijui ni vya mtumba...

Alafu mwambien zile nywele azieke kama celebrite buaanaaaa....

I wil vote,
 
ha ha Wacha nimpigie kura aise,

Link iko wapi sasa?
 
Ujingaaa... Kwahiyo Kiba saivi amekuwa stylish...?
 
Back
Top Bottom