Mpigie kura Cloutus Chama awe mchezaji bora wa wiki CAFCL

Mpigie kura Cloutus Chama awe mchezaji bora wa wiki CAFCL

Chama.png


Ashapita huyo.
 
Nina mabegi sita ya kura,vp zinaruhusiwa?
[emoji23][emoji23]
 
Chama Kafunga magoli mawili na assist. Anastahiki hii tuzo
 
Hii kitu uto hawawezi ipenda si ajabu kumpigia mwarabu hawa jamaa.
Lakini kwa wingi wetu hata wafanyaje tunaenda na chama la wana.
 
Back
Top Bottom