Yaan wakimnyima na hii wakampa davidoo aiseee watakua na upendeleoo wampe hata ya kumpa moyoo jamaniiiii
nilivyoona jina la davido kama tiketi ya ndege hatolipiwa diamond asijisumbuwe kwenda huko.
davido tena? loh! kaikosa...
Yaan wakimnyima na hii wakampa davidoo aiseee watakua na upendeleoo wampe hata ya kumpa moyoo jamaniiiii
Hahaaa ataenda kubadilishana namba za simu na Jay Z safari hii
Hahaaa watu mbona mko hivyo lol
Mi ntalia binamu tutamliliaa na warumii au twendeni tukarogee ninii tukamroge davidoo
Kwa mwaka huu kuna methali inayosema "Penye Davido diamond hakai"
tusubiri mwakani kama Davido atachuja au diamond ataongeza bidii zaidi!
Mi ntalia binamu tutamliliaa na warumii au twendeni tukarogee ninii tukamroge davidoo
mkawaroge wanaija...???sikio halizid kichwaaaa!
View attachment 168393
Baada ya BET sasa tunarudi hapa #Afrimma awards(AFRICAN MAGAZINE MUSIC AWARDS)zitakazofanyika jijin TEXAS mwez july 26th.
Diamond yupo nominated category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo ft davido
And Best afrikan artist of the year,Ambapo baadhi ya category anawania na ,baadhi ya wasanii wa Afrika anaowaia nao,ni pamoja na Mr flava,2face,Wiz kid,Davido nawengineo
.kuvote ingia AFRIMMA Nominees 2014 |
ama ingia thisisdiamond.com kulia kwako kuna link,pia facebook page ya Diamond,na walio insta nenda page ya WASAFI @ wcb_wasafi pia page ya @ kifesi kwenye BIO ,kuna link itakayokudirect kwenye kupiga kura .
.
Mi ntalia binamu tutamliliaa na warumii au twendeni tukarogee ninii tukamroge davidoo
Ndomo akisikia jina la davido naona mav1 yanagonga chup1, na mimi ndo shabiki wa davido kiama na wolper kaongezeka, na gheto langu marufuku nyimbo zozote zaidi ya za davido haswa skelewuu, wengine bahat mbaya siwajui, kwani dhambi binamu? Ma haters wakaoge, Davido for life baby wakuache miaka miaa kaka davido.
kwanza nitampigia simu kaka davido avunje urafiki na ndomo maana nasikia anapanga mbinu za kumroga achukue nyota yake, na nitamwambia awaambie kabisa akina tiwa savage na wasanii wengine wakubwa africa wamuogope ndomo kama ukoma maana ni mchawi sana anajifanya anaomba collabo kumbe anataka kutembelea nyota za watu. ngoja nikanunue vocha ntakupa umbea binamu
Binamu huo umbea nitupie kwa pm hapa wachawii wengiii
Halaf penda cha kwenuu bana davido my ass