Mpigie kura Diamond kwenye tuzo za AFRIMMA

Mpigie kura Diamond kwenye tuzo za AFRIMMA

Yaan wakimnyima na hii wakampa davidoo aiseee watakua na upendeleoo wampe hata ya kumpa moyoo jamaniiiii
 
Yaan wakimnyima na hii wakampa davidoo aiseee watakua na upendeleoo wampe hata ya kumpa moyoo jamaniiiii

hastahiki davido anajulikana karibu afrika nzima mondi bonho .na kenya tu
 
Hao mapromota wa Diamond Babu Tale,Suka,Saidi Fela,Ruge Mutahaba na Jakaya Kikwete wanajua fitina na hapa bongo,nje ya bongo hawajui chochote.Angekuwa mjanja angetafuta Manager wa kimataifa ambaye atampromote nje ya Tanzania
 
Diamond ana chance moja tu hapo kwenye Best Male East Africa kwengine wapopo wapo kwa hivyo hakai
 
Hhizi tuzo lazima apate msanii bora wa afrika mashariki..
Kwasababu zipo kama zile za kiri
 
Mi ntalia binamu tutamliliaa na warumii au twendeni tukarogee ninii tukamroge davidoo

Tutachemka maana mganga tutakaye mwendea yeye uchawi anachukulia huko kwa akina Davido haitasaidiaa.. tumuombee tu teh
 
mkawaroge wanaija...???sikio halizid kichwaaaa!

Hahaaaa ndo nimembwambia Dina hatuwezi mroga maana huko kwao ndo waganga wetu wanaenda kujikoki... tukisema tumuendee kwa TB Joshua nayo haisaidii maana naye ni mnigeria lol
 
View attachment 168393
Baada ya BET sasa tunarudi hapa #Afrimma awards(AFRICAN MAGAZINE MUSIC AWARDS)zitakazofanyika jijin TEXAS mwez july 26th.
Diamond yupo nominated category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo ft davido
And Best afrikan artist of the year,Ambapo baadhi ya category anawania na ,baadhi ya wasanii wa Afrika anaowaia nao,ni pamoja na Mr flava,2face,Wiz kid,Davido nawengineo
.kuvote ingia AFRIMMA Nominees 2014 |
ama ingia thisisdiamond.com kulia kwako kuna link,pia facebook page ya Diamond,na walio insta nenda page ya WASAFI @ wcb_wasafi pia page ya @ kifesi kwenye BIO ,kuna link itakayokudirect kwenye kupiga kura .
.

nimeona jana HBO walikuwa wanaonyesha jinsi alivyofurahia kupata HOLLYWOOD WALK OF FAME....hongereni sana...haters midooomo kiiimya..walk of fame babeeeeeeeeeeee
 
Mi ntalia binamu tutamliliaa na warumii au twendeni tukarogee ninii tukamroge davidoo

Ndomo akisikia jina la davido naona mav1 yanagonga chup1, na mimi ndo shabiki wa davido kiama na wolper kaongezeka, na gheto langu marufuku nyimbo zozote zaidi ya za davido haswa skelewuu, wengine bahat mbaya siwajui, kwani dhambi binamu? Ma haters wakaoge, Davido for life baby wakuache miaka miaa kaka davido.

kwanza nitampigia simu kaka davido avunje urafiki na ndomo maana nasikia anapanga mbinu za kumroga achukue nyota yake, na nitamwambia awaambie kabisa akina tiwa savage na wasanii wengine wakubwa africa wamuogope ndomo kama ukoma maana ni mchawi sana anajifanya anaomba collabo kumbe anataka kutembelea nyota za watu. ngoja nikanunue vocha ntakupa umbea binamu
 
Binamu huo umbea nitupie kwa pm hapa wachawii wengiii
Halaf penda cha kwenuu bana davido my ass
 
Binamu huo umbea nitupie kwa pm hapa wachawii wengiii
Halaf penda cha kwenuu bana davido my ass

Ndomo mwenyew alisema anamkubali chris brown, kama ana mapenzi na nyumbani kwa nini asingemtaja alikiba au barnaba? Ina maana wewe usipompenda jide ukampenda beyonce ni dhambi? Kama na ndomo ana thamini vya nyumbani kwa nini anakimbilia nje kufanya collabo? Ebu tuacheni bhana mashabiki wa davido for life beibiiiiii....haters mkaoge.

Kupenda ni kuchagia na ushabiki haulazimishwi, yaani nisimpende davido kisa? Niacheni nilale jamani , kaka davido for life, ngoja nimpigie nimkanye kabisa ukaribu na ndomo maana si mtu mzuri ni kichawi sana kale katoto na sijui kamefikaje BET, ngoja nimpigie kabisa na tiwa savage ile video waliyo shuti waifute ndomo si mtu mzuri kabisa anataka kuwaroga.
 
Back
Top Bottom