Hizo atapata wala hatubishi, zilizokuwa zinatutoa roho ma haters ni tuzo ya mtv na bet tunamshukur mungu wetu zote kakosa, izi tuzo za kill sijui afrimma hata mia akichukua wala hata mshipa hautikisiki, sisi tatizo letu hizo tuzo za bet n mtv tu
Hivi mziki wa Diamond unachukua dk tatu umeisha na akipanfa stage anaweka cd...atashinda wapi. Arudi bongo kubadili nguo zake leo wema kesho nanii...kesho kutwa naniii...zikija tuzo za best prostitute atakuwemo pia