warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hhizi tuzo lazima apate msanii bora wa afrika mashariki..
Kwasababu zipo kama zile za kiri
Hizo atapata wala hatubishi, zilizokuwa zinatutoa roho ma haters ni tuzo ya mtv na bet tunamshukur mungu wetu zote kakosa, izi tuzo za kill sijui afrimma hata mia akichukua wala hata mshipa hautikisiki, sisi tatizo letu hizo tuzo za bet n mtv tu