tehe tehe tehe tehe naona umelipa......sina tabia ya kujipendekeza kwa watu....ushapiga kura?Yo Yo,
Acha kujipendekeza kwa watu usiowafahamu.
Yaani umejipendekeza kwa NN na Masanilo nilifikiri imetosha lakini bado tu.
Sasa umeibukia kwa TK? Hata kwa hicho kitoto nacho unajilamba vidole? Kama MPare vile na picha ya samaki ukutani...........
Lol wakuu fidel na cathbelt nyingine niliweka rizevu tehe tehe mmeziibua....
tehe tehe tehe tehe naona umelipa......sina tabia ya kujipendekeza kwa watu....ushapiga kura?
tehe tehe tehe wanyamwezi mkishakaa pwani mnaharibikiwa akili......humuoni Six6Ngoja na mie niwe Mpare nifaidi tu kwa macho, Kiperege kilichosimama UKUTANI.
Mpwa hivi Ngabu kamwona kweli huyu?
Dah mtoto yupo moto moto lakini naona kitu kama kimefichama vile.
kitu kipi tena mpwa?
NN ana mijimama yake ile XXXL
Nipo hapa St Tropez nikila maisha....wewe na Lisa wako hamna ubavu wa kuja huku....
hahaha komredi unakumbuka hiki kishori kimetesa sana kule Ze utamu?
Unaona sasa Komredi...afadhali umesema wewe. Hiki kishori ni zeutamu type!! Halafu eti tunaambiwa tukipigie kura...shiiiit
hapo kati hapo hehehe nimepapenda
Mi bado mgeni kidogo hapa mjini. Kuna connection yoyote kati ya hizi picha za nyuchi na kazi hiyo ya TV presenter?,msaada pls...au ni makengeza yangu si wameandika spike TV hapo juu?
mazee naomba ufafanuzi kuwa mtangazaji hiyo T.V,lazima upige picha kavu namna hii watu waone maumbile au?mi mwenzenu bado mshamba sana mweeeh