Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Hapa anajitangazia biashara au vipi wajameni??? Nidhamu yetu ya kiafrika inatokomea!!! Half naked!!! Hivi wazazi wake wako hai?? Wanafurahia hizi pics and many more alizozianika katika face book!!! Anyway, ambao hamjaoa kazi ni kwenu kumpata a descent mother four your kids. Ni hatari sana kwa watoto wetu ambao hawajaoa na wanaokua!!! Anyway, I am old fashioned!!!! Talking of years 1947!!! Soorrry.
wazazi wake walishakufa, na wa mwisho ilikuwa ni baba yake last yr, lakini hata kama wangekuwepo, hao wazee wa kisukuma walishachanganyikiwa na visenti vya binti yao alivyokuwa anawatumia, maana mzee wake nae uzee ulimwisha na kuanza kujichanganya kunako
 
Hivi wajemeni ..anyway this is not my type,,hapa namuunga mkono NN kwenye mawezele,,

Sasa izo picha ndo atakuwa anatangaza ivo kwen iyo TV au inakuwaje, manake kuna nyingine apo kapiga naona na kitanda pembeni as if ni maandalizi ya mambo yetu yale...eeh? au ndo 2 in 1?

Babukijana na Kaizer,

Mbona mnakuwa kama "Washamba" fulani hivi?

Hayo ndiyo mambo ya majuu. Na mtangazaji kama huyo ndiyo unaambiwa kuwa habari zake ni "NAKED" TRUTH au Ukweli "MTUPU".

Kwa maana nyingine ni kuwa "hana cha kuficha", mtoto kajisasambua "SAMBUU."

NB: Kaizer na Babukijana, neno mshamba hapa limetumika kifasihi.
 
I hate Yo Yo and this gal.....Mungu mlaani Yo Yo awe mwana si ridhiki na TK awe bubu! akose utangazaji...sorry I wont vote anyway!
 
Mbona mnamshambulia TK wa watu jamani eeh kwanza kabisa yeye hayupo kujitangaza ili kutafuta mwauame ana mume wake (yaani ni kwamba she is very married and very happy).

Na pili hamjui nini maudhui ya kuweka hizo picha alizopiga na bikini,labda ndiyo walivyoambiwa kuweka picha za aina hiyo i am sure hata ukiangalia wagombea mwenza lazima nao watakuwa nao wameweka picha walizopiga wamevaa bikini.

mpigieni kura tuache kuanza judge kitu alichovaa,let us be a little civilized hata kwa siku moja basi,viongozi wetu tuwatoe kasoro kuwa ni mafisadi hata na wasio mafisadi pia?binti anajitafutia riziki ati.
 
I know am not civilized, thats why I not gonna cast my vote anyhow......ametudhalilisha sana wazazi wa Tanzania. Kwanini asingevaa gauni refu kuficha maungo yake....this is a total moral decay in our society....enzi za Mwalimu mambo haya hayakuwepo. TK alaaniwe
 
what?kuvaa bikini ni kudhalilishwa?since when?.mbona sasa unaleta issue za miaka ya 47?hii ni karne ya 20 jamani hebu try to think about it.bado tuu mnataka watu waishi kama walivyoishi wazazi wetu common now.Hebu give her credits at least ana hustler kihalali na wala siyo kwa kujiuza au kula rushwa.

TK yupo juu kinoma alafu very down to earth,get to know her kabla hujam-judge.
 
Aspiring Comic Book Artist

Teddy is an accomplished cartoonist and artist, even creating her own graphic novel about a woman with superhero-like powers. The character is based on her own life and is a strong, sexy woman who likes to kick ass and save the world.

Teddy is originally from Tanzania, Africa. The 28-year-old recently moved to the United States to pursue a career in the entertainment industry. She's highly athletic and loves running, dancing up a sweat, and shooting three-pointers on the basketball court. Teddy spends her downtime watching action films.

Quick Facts:

Loves fast cars
A star on Tanzanian television
Very flexible
Always sleeps in the nude
Coached models for the Miss Tanzania Beauty Pageant
 
69324.jpg
https://www.jamiiforums.com/spike-girl/500960
 
what?kuvaa bikini ni kudhalilishwa?since when?.mbona sasa unaleta issue za miaka ya 47?hii ni karne ya 20 jamani hebu try to think about it.bado tuu mnataka watu waishi kama walivyoishi wazazi wetu common now.Hebu give her credits at least ana hustler kihalali na wala siyo kwa kujiuza au kula rushwa.

TK yupo juu kinoma alafu very down to earth,get to know her kabla hujam-judge.

Enzi zetu za Mwalimu usingaliandika huo upupu wa kufagilia mavazi ya nusu uchi....ukisasa haubadili maadili yetu, nyie vijana vipi? Ndiyo maana mafisadi wanaongezeka enzi zetu wala....mkuu wa wilaya anatumia landrover 108 na mabwana shamba farasi.....
 
Sidhani kama huyu TK kichwani zinapanda. Kwa mfano sidhani hata kama anajua big bang theory ni nini....
 
Enzi zetu za Mwalimu usingaliandika huo upupu wa kufagilia mavazi ya nusu uchi....ukisasa haubadili maadili yetu, nyie vijana vipi? Ndiyo maana mafisadi wanaongezeka enzi zetu wala....mkuu wa wilaya anatumia landrover 108 na mabwana shamba farasi.....

Correction "enzi zile za mwalimu",na hii si enzi ya mwalimu,besides ameshajadiliana na mume wake na ndugu zake anachotaka kufanya na kama wamempa go ahead who cares?.

Kaka yangu kumbuka siyo kila mtu amekuwa katika maadili ya huyo mwalimu nyerere mnayektukuza mpaka leo.Watanzania inadibi tuadilike kidogo tutabakia kuwa nyuma kwa sababu bado tunabakia kuwa na fikira za miaka hiyo hadi lini lakini?

Issue ya mafisadi na issue ya tk ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Utalaaniwa na mzimu wa mwalimu, inabidi tumuenzi vizazi hadi vizazi....haya mambo ya kutembeza K wazi hayakuwepo kabisa kijana wangu!
 
Utalaaniwa na mzimu wa mwalimu, inabidi tumuenzi vizazi hadi vizazi....haya mambo ya kutembeza K wazi hayakuwepo kabisa kijana wangu!

Of course namu-enzi Mwalimu nyerere lakini siyo ndiyo basi hata kama mtu unataka kufanya kitu uache kufanya kisa mwalimu nyerere hakupenda hivyo?nani kasema?.

Alafu basi binti wa watu hayupo uchi mbona yupo covered.haya ndiyo yale mambo kama yale watu wanafanya MISS tanzania wakaanza ooh kuvaa bikini ni uhuni,mimi nadhani nyie wanaume mnakuwa mnashikwa na mfadhaiko ndiyo maana mnakuwa mnapinga sana.Mbona nyie mwavaa boksa?ha wala watu hawalalamiki?
 
LOL...unakumbuka ugomvi wake na Mange?

Waligombania nini? Lazima itakuwa wanaume...kwa sababu I cannot envisage the two of them engaging in a back and forth about the moral and ethical complexities of stem cell research and such...they are too dumb for that and the subject matter is too cerebral...(for them at least)
 
Of course namu-enzi Mwalimu nyerere lakini siyo ndiyo basi hata kama mtu unataka kufanya kitu uache kufanya kisa mwalimu nyerere hakupenda hivyo?nani kasema?.

Alafu basi binti wa watu hayupo uchi mbona yupo covered.haya ndiyo yale mambo kama yale watu wanafanya MISS tanzania wakaanza ooh kuvaa bikini ni uhuni,mimi nadhani nyie wanaume mnakuwa mnashikwa na mfadhaiko ndiyo maana mnakuwa mnapinga sana.Mbona nyie mwavaa boksa?ha wala watu hawalalamiki?

My daughter

Hebu niPM tuongee chemba....

Asante!
 
Back
Top Bottom