KERO Mpiji Magohe hatuna maji licha ya DAWASA kupitisha bomba miezi minne iliyopita

KERO Mpiji Magohe hatuna maji licha ya DAWASA kupitisha bomba miezi minne iliyopita

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Johric7

New Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni miezi minne imepita.

Tunaomba mamlaka husika kulifuatilia suala hili na kuhakikisha huduma ya maji inapatikana kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom