Mpilipili wangu nyumbani umekubali

Kweli Nna mkono wa kupanda vitu
Naona pilipili yangu imekubali
Ni vzri kupanda vitu vidogodogo nyumbani
Syo kila kitu kwenda nunua sokoni

Ova
View attachment 1105376
Wazo lako la kupanda vitu vidogo vidogo nyumbani ili usinunue masokoni ni zuri sana.
Lakini mpilipili wako hauna matunda ya kutosha bali majani tu, hivi mtu anaweza chuma hayo majani akapika kama mboga<
 
Wazo lako la kupanda vitu vidogo vidogo nyumbani ili usinunue masokoni ni zuri sana.
Lakini mpilipili wako hauna matunda ya kutosha bali majani tu, hivi mtu anaweza chuma hayo majani akapika kama mbogaQUOTE]Okkkkkkk

Ova
 
Mimi kwangu nimepanda pili pili, mchai Chai papal, Mchicha na sasa kuna mahindi ya kuchoma, shinaa moja la mgomba na pia Nafuga kuku
 
Namashina manne yote shakula ndizi kwakweli ukiwa na eneo la kutosha mambo yanakuwa safi.
 
Kumbe nawe ni mpenzi wa pilipili Mkuu, hongera kwa kuwa na mkono wenye baraka. Sokoni/gengeni hawakupati tena.
Asante chief....

Ova
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…