Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Wazo lako la kupanda vitu vidogo vidogo nyumbani ili usinunue masokoni ni zuri sana.Kweli Nna mkono wa kupanda vitu
Naona pilipili yangu imekubali
Ni vzri kupanda vitu vidogodogo nyumbani
Syo kila kitu kwenda nunua sokoni
Ova
View attachment 1105376
Lakini mpilipili wako hauna matunda ya kutosha bali majani tu, hivi mtu anaweza chuma hayo majani akapika kama mboga<