Mpilipili wangu nyumbani umekubali

Mpilipili wangu nyumbani umekubali

Nna mti wa mbilimbili tena
Mm licha ya makeke mengi ila kwenye utengenezaji a chali ni balaa

Ova
mkuu mti wa mbilimbi huwa una mbegu zake au ni upate shina changa.
 
Mtunda una mbegu
Unaweza Pata miche kutokana na mbegu zake

Ova
Matawi ya pembeni kwenye huu mti ukipanda hayawezi Ota maana nimeutafuta nipande home mti umekuwa adimu Sana na mstafeli natamani uwe jirani niombe nipande home
 
Matawi ya pembeni kwenye huu mti ukipanda hayawezi Ota maana nimeutafuta nipande home mti umekuwa adimu Sana na mstafeli natamani uwe jirani niombe nipande home
Mm najuaga matunda yanayoanguka chini huchipua miche yke
Mtunda ukiiva hadi kuoza mbegu zake unaweza zipanda

Ova
 
Haya wewe wa pilipili na huyo wa mbilimbi mkutane mtengeze chachandu ova
 
Mimi nikipanda mpilipili huwa napenda kukaa siti ya dirishani
 
Back
Top Bottom