Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Boss kwani wanaokosa sifa wanatangazwa wapi? Au hiyo fomu haikuchuliwa hapo iNEC? Si inatakiwa airudishe kwanza? Au iNEC walitoa fomu kwa mtu asiye na sifa?Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Wao hoja yao ni kwamba Msajili hausiki na mambo ya uchaguzi 😆Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Boss kwani wanaokosa sifa wanatangazwa wapi? Au hiyo fomu haikuchuliwa hapo iNEC? Si inatakiwa airudishe kwanza? Au iNEC walitoa fomu kwa mtu asiye na sifa?
Wana ujinga bado, ingawa wana elimu ya makaratasiniHuyu Mpina anatafuta kiki halafu kiki hazimpendezei. Kaambiwa Hana sifa kwa barua na kunywa asikanyage pale ofisini. Kinachompeleka pale ni Nini?
Kabisa.🤣Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
https://www.facebook.com/Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Hakika ni za kwetuMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.