Sasa si anatembea na script, au hujui mambo ya take one action mkuu?Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Zanzibar Dkt Mwinyi atashinda 90% mwaka huu. OMO aibu kubwa kwake itamkutaMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Wewe unaonaje hapo mkuuHao polisi wameenda kumsindikiza au kumzuia?
Polisi wetu wanatumika vibaya sana. Sasa kwani kazi ya kupokea form ni ya kwao? Wenyewe si wamsindikize huko ndani wenye kupokea wakaikatae? Ni aibu ya taifa hii.Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
HahahahaaaMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Form lile ni mali ya tume, hao tume kwa nini wagomee nyaraka yao?
Zanzibar Dkt Mwinyi atashinda 90% mwaka huu. OMO aibu kubwa kwake itamkuta