FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,882
- 5,087
Yale yale ya Marehemu Mzee Membe.Huyu nae nani alimwambia anakubalika na watanzania wote,
Yale yale ya Marehemu Mzee Membe.Huyu nae nani alimwambia anakubalika na watanzania wote,
Angekimbia mahakamani chap kuzuia mambo ya ukomo wa mda Hadi shauri lake lisikilizwe.Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Huo ndio uchaguzi wa haki na huru Ccm inayo uhubiri. Wapinzani nchi hii ni Chadema tuu. Wengine ni waganga njaaMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Pesa zake watamrudishia? Maana kuchukua pesa ya mtu ambaye hana sifa ni kumharalisha au ni wizi huku ukijua unamuibia mtu kwa kutumia sheriaMuda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Hauna uzalendo kabisa mkongwe!Mbona eneo limepauka sana ndio. Dodoma pa kichovu hivyo?
AAAIIISEEE!Boss kwani wanaokosa sifa wanatangazwa wapi? Au hiyo fomu haikuchuliwa hapo iNEC? Si inatakiwa airudishe kwanza? Au iNEC walitoa fomu kwa mtu asiye na sifa?
Msajili vipi ule Mchakato wa Kumpata Mgombea wa CCM ?
Kwani hiyo fomu alitumiwa kupitia WhatsApp na kipindi hao waliomtumia hawakufahamu kuwa ana sifa ama hana sifa?Huyu Mpina anatafuta kiki halafu kiki hazimpendezei. Kaambiwa Hana sifa kwa barua na kunywa asikanyage pale ofisini. Kinachompeleka pale ni Nini?
Wakulaumiwa ni hao iNECBoss kwani wanaokosa sifa wanatangazwa wapi? Au hiyo fomu haikuchuliwa hapo iNEC? Si inatakiwa airudishe kwanza? Au iNEC walitoa fomu kwa mtu asiye na sifa?
Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Mwanachama wa ACT ndiye aliyelalamika kuwa kanuni za chama hazikufuatwa malalamiko yake akapeleka kwenye chama na kwa msajili akiwa Mpina tayari alishachukua fomu.Pesa zake watamrudishia? Maana kuchukua pesa ya mtu ambaye hana sifa ni kumharalisha au ni wizi huku ukijua unamuibia mtu kwa kutumia sheria
Ni tume ya uchaguzi inayosingiziwa kuwa huruWanakosea kuita Tume Huru Ya Uchaguzi,
Tanzania zaidi ya uijuavyo................................
Kwanini alipewa kama Hana sifa?Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.