Tetesi: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na yupo tayari kugombea urais

My Take :
Ni wakati wa kujiajiri kwenye Kilimo mbona mnakimbiza? 😂😂😂👇👇
https//www.instagram.com/p/DM5v-I8iTiG/?igsh=MTFmdzJweTdtaXk3OQ==
Akili ya MPINA kama ingehitaji watoto wajinga wajinga kama wewe Kufa ili MPINA awe Mbunge, na wewe ungekua mtoto wangu, Ningekuhalalisha Ufe tu .



Uwezo wa Akili wa MPINA, hamna Mahali pakutumika zàidi ya kua Ndani ya Siasa.
 
Mbona familia ya Kikwete haioni aibu inataka ubunge tu, wao hawaoni hizo kazi nyingi unazosema?
Bora wao hawajakatwa Ili tuwajue.Sasa jkikatwa si ufanye kazi zingine kama mnavyowaambiaga Vijana au?
 
Naunga mkono Mpina kumkabili huyu Mzanzibari anayeitawala Tanganyika kwa mkono wa chuma, ila tatizo hapo ni Zitto Kabwe lazima ataweka ugumu maana ana shirika na huyo Mzanzibari kwa sababu ni nduguye katika imani.
 
 
Ni bora angeenda NCCR Mageuzi hata hivyo hakutakiwa kufanya uamuzi wa haraka hivyo maana imani kwa wananchi itashuka
 
Kwa act wazalendo? Mmmh SIO mbaya ila HAPO atatumia nguvu nyingi SANA kuwashawishi raia. LAKIN mi kinacho nishangaza ni Hawa WATU kutokua na subra.

Miaka mitano ni michache SANA kwa dunia ya Leo wajifunze kusubiri, MBONA Paul makonda alisubiri na mitihani aliopitia makonda ni mkubwa kuliko mpina Donald trump alisubiri. Hawa vijana SIJUI mshauri WAO nani?



Kwishaaaaaa
 
Vipi kishimba na msukuma
 
Atajidanganya Bora akomae na ubung wanakijiji watamwelewa lakini li Tanzania ni kubwa Sana ataanguka anguko ambalo atajiona choo
 
Alitakiwa kwenda kugombea ubunge
 
Naunga mkono Mpina kumkabili huyu Mzanzibari anayeitawala Tanganyika kwa mkono wa chuma, ila tatizo hapo ni Zitto Kabwe lazima ataweka ugumu maana ana shirika na huyo Mzanzibari kwa sababu ni nduguye katika i

Naunga mkono Mpina kumkabili huyu Mzanzibari anayeitawala Tanganyika kwa mkono wa chuma, ila tatizo hapo ni Zitto Kabwe lazima ataweka ugumu maana ana shirika na huyo Mzanzibari kwa sababu ni nduguye katika imani.
Hapo ndipo mnapo haribu yaani huyu aliye set hili wazo la devide and rule kwa msingi wa dini alitupatia sana sisi wa Tanganyika na itatuchelewesha sana coz mtu haangalii ufanisi wa kiongozi bali huangaliwa zaidi dini yake mtu yupo radhi kusifia hata ujinga mradi tu umefanywa na kiongozi wa dini yake na yupo tayari kukaa kimya kwa uovu sababu tu umefanywa na kiongozi wa dini yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…