Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

Joined
Jun 25, 2022
Posts
3
Reaction score
7
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara.

Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa chama hicho kwa mwaka 2022.

Mbunge huyo wa Kisesa amechukulia fomu hizo katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma na kukabidhiwa fomu hizo na Ndugu. Matilda Mgeni, Karani wa Masijala ya CCM Mkoa wa Dodoma.

Mpina amechukua fomu hizo leo Dodoma ikiwa ni siku chache tangu kuhitimu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Operesheni Venance Mabeyo katika Kambi ya Kikosi cha Jeshi Makutupora Dodoma mafunzo yaliyomalizika Agosti 5, 2022.

IMG-20220810-WA0213.jpg
 
Kwanini ameenda kwenye mafunzo JKT sasa hivi? Au ni kigezo kimojawapo ili kugombea kuwa mjumbe wa NEC, hakuenda JKT huko nyuma.
 
Hii nchi tabu sana. Kumbe hata JKT alikuwa hajapitia huyu Bwana.
 
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara.

Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kuomba nafasi mbalimbali za uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa chama hicho kwa mwaka 2022.

Mbunge huyo wa Kisesa amechukulia fomu hizo katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma na kukabidhiwa fomu hizo na Ndugu. Matilda Mgeni, Karani wa Masijala ya CCM Mkoa wa Dodoma.

Mpina amechukua fomu hizo leo Dodoma ikiwa ni siku chache tangu kuhitimu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Operesheni Venance Mabeyo katika Kambi ya Kikosi cha Jeshi Makutupora Dodoma mafunzo yaliyomalizika Agosti 5, 2022.

Wengine waliochukua fomu ni kina nani mbona
 
Anafaa maana CCM imejaa watu wajinga tupu
 
Mpina mwanasiasa mkweli
 
Tunamtakia kila kheri ni Mwana CCM kweli kweli anayefuata misingi ya CCM kusema kweli Daima fitina kwake mwiko.
 
Hongera zake KWA ujasiri aliouonyesha!

Mpeni Kura za kutosha!!

Akasaidie upatokanaji wa katiba mpya!nchi isonge na mitanziko ya kisiasa tulioishuhudia KWA miaka ya hivi karibuni iishe!!

BADO naamini tunao wazalendo nchini wa kupush ajenda zenye ustawi wa TAIFA letu!
 
Mpina amechukua fomu hizo leo Dodoma ikiwa ni siku chache tangu kuhitimu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Operesheni Venance Mabeyo katika Kambi ya Kikosi cha Jeshi Makutupora Dodoma mafunzo yaliyomalizika Agosti 5, 2022
Kumbe nafasi bado zipo za JKT?
 
Back
Top Bottom