Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mpina njaa inamsumbua hana uzalendo wowote ule.... soon akilamba asali atatulia ili aendeleze yale mashamba yake Morogoro!!Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Ndio hapo sasaMpina ni sawa na nyuki wa mashineni Hana madhala,Bungenu asi gerudi bila kupitishwa na mwendazake.
Nyuki wa mashine ya unga Au?Mpina ni sawa na nyuki wa mashineni Hana madhala,Bungenu asi gerudi bila kupitishwa na mwendazake.
Fisadi mno? weka ushahidi mkuuMpina njaa inamsumbua hana uzalendo wowote ule.... soon akilamba asali atatulia ili aendeleze yale mashamba yake Morogoro!!
Huyu ndo alikua waziri kichaa kichaa aliyesifiwa na jiwe kupima samaki kwa rula na kuchomea watu nyavu zao...
Alikua fisadi mno kiasi cha jiwe kutomtamani tena kichaa mwenzie kurudi kwenye uwaziri 2020!!
Akafie mbele.
Wewe ndio jichunge maana umetumwa kuchokoa.......................Mpina sio Mwakyembe jaribuni ili muone kwamba mtu aliyeachwa mpweke kuiwa anauwezo gani kuhaulisha fikra na matendo kwa wengine kulinda maslahi yanayohatarishwa na vimeoKwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Hana lolote huyo mnampaisha tuu bure..Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.