Mpina akirejea bungeni kwa tiketi ya CCM 2025, niiteni nimekaa pale

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.

Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.

Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
 
Mpina njaa inamsumbua hana uzalendo wowote ule.... soon akilamba asali atatulia ili aendeleze yale mashamba yake Morogoro!!

Huyu ndo alikua waziri kichaa kichaa aliyesifiwa na jiwe kupima samaki kwa rula na kuchomea watu nyavu zao...

Alikua fisadi mno kiasi cha jiwe kutomtamani tena kichaa mwenzie kurudi kwenye uwaziri 2020!!

Akafie mbele.
 
Kama hawatamrudisha Mpina kwa sababu wameshindwa kujibu zile hoja zake, kwangu atakuwa ndie mshindi, na hii itaonesha huko CCM hawapendi watu wanaojitambua, wanapenda wajinga ndio maana taifa limeshindwa kumuondoa adui ujinga miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru.
 
Mpina njaa inamsumbua hana uzalendo wowote ule.... soon akilamba asali atatulia ili aendeleze yale mashamba yake Morogoro!!

Huyu ndo alikua waziri kichaa kichaa aliyesifiwa na jiwe kupima samaki kwa rula na kuchomea watu nyavu zao...

Alikua fisadi mno kiasi cha jiwe kutomtamani tena kichaa mwenzie kurudi kwenye uwaziri 2020!!

Akafie mbele.
Fisadi mno? weka ushahidi mkuu
 
Watanzania hatuiwezi demokrasia kabisa,tunajilazimisha tu.
 
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.

Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.

Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Wewe ndio jichunge maana umetumwa kuchokoa.......................Mpina sio Mwakyembe jaribuni ili muone kwamba mtu aliyeachwa mpweke kuiwa anauwezo gani kuhaulisha fikra na matendo kwa wengine kulinda maslahi yanayohatarishwa na vimeo
 
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.

Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.

Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Hana lolote huyo mnampaisha tuu bure..

Chama chake kike na ndugayembe kimeishia wapi?
 
Back
Top Bottom